• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ujenzi

Idara ya Ujenzi

Halmashauri inatekeleza maelekezo ya Sera na Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015 kwa kuendelea kuimarisha na kuunganisha barabara toka makao makuu ya halmashauri na vijiji ili zipitike kwa wakati wote. Pia inahakikisha ujenzi na ukarabati wa majengo mbalimbali unazingatia viwango vinavyokubalika.

Halmashauri ya Mji Nzega kupitia Idara ya ujenzi inatekeleza majukumu yake ya msingi ikiwa pamoja na kufanya matengenezo ya Barabara ya muda maalumu,matengenezo ya kawaida,maeneo korofi na kuratibu shughuri zote za ujenzi katika Halmashauri.Aidha katika kutekeleza hili Halmashauri kwa kushilikiana na serikali kuu ina jumla ya kilometa 206 za mtandao wa barabara kati ya hizo kilometa 12 ni za  kimkoa,na 145 ni za Halmashauri

Hadi sasa Halmashauri ya mji wa Nzega, nje ya Barabara za Mikoa na Barabara kuu imekwisha tengeneza urefu wa kilomita 21.1 kwa kiwango cha Changarawe, kilomita 163 ni Barabara za vumbi, na kilomita 1 ni Barabara ya Lami. Aidha, Mtandao huu wa Barabara umekuwa ukifanyiwa matengenezo kila mwaka kutokana na vyanzo mbalimbali vya fedha vya Halmashauri ya Mji na kufanya barabara hizo kupitika katika vipindi vyote vya mwaka kwa 80%.

Aidha katika mwaka 2015/16 Halmashauri kupitia mfuko wa barabara imeidhinishiwa kupatiwa shilingi milioni 435.63 kwa ajili ya kufanya matengeneza yakawaida, ya muda maalum, kuimalisha sehemu korofi na ujenzi wa makaravati na kwamba utekelezaji wa kazi hizo unaendelea

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • MADIWANI HALMASHAURI YA NZEGA MJI WAFANYA ZIARA

    February 14, 2023
  • WAKAZI WA NZEGA WANUFAIKA NA MAHINDI YA BEI NAFUU KUTOKA NFRA

    January 24, 2023
  • TASAF ILIVYOKWAMUA UCHUMI WA KAYA MASIKINI HALMASHAURI YA NZEGA MJI

    December 05, 2022
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI OR-TAMISEMI KATIKA HALMASHAURI YA NZEGA MJI KUKAGUA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

    November 25, 2022
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017