Tarehe Iliyowekwa: October 21st, 2022
ZIARA YA TIMU YA UKAGUZI YA MIRADI YA HALMASHAURI
Kamati ya ukaguzi ya miradi ya halmashauri leo tarehe 20/10/2022 imetembelea miradi inayoendelea kujengwa katika Halmashauri.Miradi ili...
Tarehe Iliyowekwa: October 18th, 2022
Waziri wa kilimo na mbunge wa jimbo la nzega mjini amefanya ziara ya kukagua miradi katika jimbo lake la nzega Mjini.
Katika ziara yake aliyoifanya tarehe 18/10/2022 ametembelea jumla ya miradi mit...
Tarehe Iliyowekwa: September 28th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Nzega ACP.ADVERA BULIMBA, tarehe 28.09.2022 katika ukumbi wa SERENE ulioko katika Halmashauri ya mji Nzega amezindua Mwongozo wa elimu kwa shule za Msingi na Sekondari.Miongozo ...