Siku ya Ahamisi ya tarehe 25.01.2018 asubuhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe.Aggrey Mwanri atakuewpo katika Halmashuri yetu kwaajili ya zoezi la upandaji miti katika maeneo ya Shinyanga Road,Tabora Road na Bypass ya Igunga .
Watumishi na Wananchi wote mnaombwa kushiriki.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017