• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika ni miongoni mwa Idara zinazotoa huduma katika jamii. Idara inatoa ushauri wa mafunzo kuhusu Kilimo bora, Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika kwa lengo la kuiwezesha jamii kupata tija katika uzalishaji wa mazao ili kuhakikisha kila kaya inajitosheleza kwa chakula, inaongeza kipato hivyo kupunguza umaskini katika jamii. 

 

Eneo linalofaa kwa kilimo ni Km2 520 kati ya hizo eneo linalolimwa ni Km2   320 na eneo linalilofaa kwa umwagiliaji ni Ha 500 kati ya hizo Ha 60 tu ndiyo zinazomwagiliwa.

Zaidi ya asilimia 70 ya wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega hujishughulisha na kilimo na ufugaji. Mazao muhimu ya chakula ni pamoja na Mpunga, Mahindi, Viazi vitamu na  Mihogo. Hata hivyo mpunga huzalishwa kama zao la chakula na biashara. Mazao ya biashara ni Pamba Alizeti, korosho na Karanga.

Kilimo kinachangia 20% katika pato la Halimashauri ya Mji wa Nzega.

 

MUUNDO WA IDARA YA KILIMO UMWAGILAJI NA USHIRIKA

  1. Mkuu wa Idara – Afisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Mji (TAICO) 
  • Wasimamizi  wa Vitengo: (Subject Matter Specialists (SMS)):-
  • Afisa Mazao
  • Afisa Ugani
  • Afisa lishe
  • Mhandisi Kilimo 
  • Afisa afya ya Mimea na mazao
  •  Afisa mboga na matunda (Horticulture)
  • Afisa Takwimu kilimo
  • Afisa Pembejeo za kilimo
  • Afisa zana za Kilimo (Agro-Mechanization)
  • Afisa  ushirika
  • Ngazi ya kata- Afisa Ugani Kilimo Kata (WAEO)
  • Ngazi ya Kijiji – Afisa Ugani Kilimo Kijiji (VAEO)

MALENGO YA IDARA YA KILIMO UMWAGILAJI NA USHIRIKA 

Kuongeza uzalishaji na ubora wa mazao ya kilimo ili kuhakikisha usalama wa chakula na kuongeza kipato ngazi ya kaya Kuongeza mapato ya Halmashauri ya Mji wa Nzega kwa njia ya ushuru wa mazao.Kuchangia kuongeza  pato la taifa kupitia  biashara za ndani na za kimataifa za mazao ya Kilimo


Na
SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA IDARA YA KILIMO
1
Kueneza elimu ya kanuni bora 10 za kilimo kwa wakulima
2
Kukusanya takwimu za bei za mazao ya chakula na biashara kila wiki na kila mwezi.
3
Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea
4
Kusimamia  taaluma ya uzalishaji wa mboga mboga, matunda na mazao
5
Kusimamia na kuratibu  usambazaji wa pembejeo.
6
Kuandaa mipango na bajeti ya Idara ya Kilimo
7
Kuwafundisha wakulima juu ya kuendesha skim za umwagiliaji
8
Kufanya ukaguzi wa vyama vya ushirika
9
Kutunza na kuweka takwimu za hali ya zana za kilimo katika halmashauri

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • MADIWANI HALMASHAURI YA NZEGA MJI WAFANYA ZIARA

    February 14, 2023
  • WAKAZI WA NZEGA WANUFAIKA NA MAHINDI YA BEI NAFUU KUTOKA NFRA

    January 24, 2023
  • TASAF ILIVYOKWAMUA UCHUMI WA KAYA MASIKINI HALMASHAURI YA NZEGA MJI

    December 05, 2022
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI OR-TAMISEMI KATIKA HALMASHAURI YA NZEGA MJI KUKAGUA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

    November 25, 2022
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017